Licha ya kucheza kwa kipindi kimoja tu, nahodha wa Yanga Haruna Niyonzima ametwaa tuzo ya nyota wa mchezo dhidi ya Coastal Union baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki
Katika mchezo huo ambao Yanga ilishinda mabao 3-0, Niyonzima alifunga bao la pili baada ya Carlinhos kuitanguliza Yanga kwa bao safi la kichwa
Kuingia kwa Niyonzima kulibadili taswira ya mchezo huo, hakika Wanayanga wamemtendea haki fundi huyu kutoka kule nchini Rwanda
Niyonzima ameshinda tuzo hiyo kwa kupata kura asilimia 56%
ADVERTISE HERE