Kabla ya mchezo dhidi ya Coastal Union ambao ulimalizika kwa Yanga kushinda mabao 3-0, kiungo Mukoko Tomombe alikabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa kikosi cha Yanga kwa mwezi Septemba 2020
Mukoko alishinda tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki
Mcongomani huyo amekabidhiwa tuzo pamoja na hundi yenye thamani ya Tsh Milioni Moja

ADVERTISE HERE