Majeraha changamoto kwa Boxer

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Oct 2020
Majeraha changamoto kwa Boxer

Jana Yanga ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya KMKM na ikafanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 ambayo yote yaliwekwa kambani na kiungo Mukoko Tomombe

Kocha Zlatko Krmpotic aliwapa nafasi wachezaji wote lakini nyota watatu walikosekana Mapinduzi Balama, Paulo Godfrey 'Boxer' na Abdallah Shaibu 'Ninja'

Tatizo la Balama linafahamika, Ninja aliumia mazoezi wakati wa maandalizi kuelekea mchezo huo lakini Boxer yeye anasumbuliwa na majeraha ya enka kwa muda sasa

Majeraha yamekuwa yakimuandama beki huyo chipukizi ambaye msimu huu wengi wanatamani kumuona anarejesha makali aliyokuwa nayo msimu mmoja nyuma wakati Yanga ilipokuwa ikinolewa na Mwinyi Zahera

Uongozi wa Yanga umesema nyota huyo anaendelea vizuri na pengine ataanza kuonekana uwanjani siku chache zijazo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’