Lamine ashinda tuzo mechi dhidi ya Mtibwa Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Sep 2020
Lamine ashinda tuzo mechi dhidi ya Mtibwa Sugar

Beki kisiki Lamine Moro ameshinda tuzo ya nyota wa mchezo wa kikosi cha Yanga katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ulipigwa jana Jumapili katika uwanja wa Jamhuri

Lamine alifunga bao pekee lililoihakikishia Yanga ushindi muhimu wa ugenini akiunganisha kona maridhawa iliyochongwa na fundi Carlinhos

Mghana huyo amepata asilimia 66% ya kura zote zilizopigwa akiwashinda Bakari Nondo Mwamnyeto na Zawadi Mauya

Akiwa nahodha wa kikosi cha Yanga katika mchezo huo, Lamine alikuwa kikwazo kwa washambuliaji wa Mtibwa Sugar kulifikia lango la Yanga

Yeye pamoja na Mwamnyeto wameendelea kuifanya safu ya ulinzi ya Yanga kuwa na utulivu wa hali ya juu ikiwa haijaruhusu bao lolote katika michezo mitatu iliyopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’