Kikosi cha Yanga leo kimekamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro
Yanga imefanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja huo




ADVERTISE HERE