Ngoma bado hajarudi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Nov 2017
Ngoma bado hajarudi
Ni wazi mshambuliaji Donald Ngoma atakumbana na adhabu kutoka kwa uongozi wa Yanga baada ya 'kukaidi' agizo la kumtaka awe amerejea wikiendi iliyopita.

Ngoma bado yuko kwao Zimbabwe na alikodai kwenda kushughulikia matatizo binafsi.

Yanga ilimsainisha mkataba wa miaka miwili mwezi Julai, 2017. Mkataba huo utamalizika mwaka 2019.

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema uongozi hauna taarifa juu nini kinachomfanya mchezaji huyo ashindwe kurejea licha ya kutakiwa kufanya hivyo.

Hivyo hatua zaidi juu yake zitachukuliwa pale atakaporejea.

Katika hatua nyingine Ngoma ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Zimbabwe kilichoalikwa kushiriki michuano ya Chalenji nchini Kenya.

Kama mchezaji huyo atakwenda Kenya kushiriki michuano hiyo bila kuitikia wito wa Yanga ni wazi atakuwa amefanya dharau ya hali ya juu
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’