Yondani asajiliwa na Namungo Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Sep 2020
Yondani asajiliwa na Namungo Fc

Aliyekuwa beki kisiki wa Yanga Kelvin Yondani 'Cotton Juice' amejiunga na klabu ya Namungo Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja

Namungo imemsajili Yondani kwa ajili ya michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika na wataanza kumtumia ligi kuu kuanzia mwezi Disemba dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa

Yondani na Juma Abdul hawakujumuishwa kwenye usajili wa Yanga msimu huu baada ya kugomea ofa walizokuwa wamepewa na uongozi

Kila la kheri mwamba..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’