Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam wakitokea mkoani Kagera ambao jana walifanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar
Mabingwa hao wa kihistoria wamerejea kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa mkoani Morogoro Jumamosi ijayo




ADVERTISE HERE