Kikosi cha Yanga tayari kiko ndani ya mji wa Bukoba kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar
Mabingwa hao wa kihistoria watashuka uwanja wa Kaitaba Jumamosi, Septemba 19 kuwakabili wenyeji wao Kagera Sugar




ADVERTISE HERE