Kikosi cha mabingwa wa kihistoria, Yanga kimeendelea na mazoezi Kigamboni kujiandaa na mchezo dhidi ya Kagera Sugar
Kesho Jumatano, Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex, Chamazi kujipima na Mlandege Fc
Tayari Mlandege wameshatua nchini kuelekea mchezo huo utakaopigwa saa moja usiku




ADVERTISE HERE