GSM yajivunia ubora wa jezi za Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Sep 2020
GSM yajivunia ubora wa jezi za Yanga

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said amesema kwa kushirikiana na uongozi wa Yanga, wamebuni jezi bora ya msimu huu

Kupitia taarifa iliyotolewa na GSM, Injinia Hersi amesema ubunifu wa jezi hiyo umezingatia historia na utamaduni wa wa Yanga iliyoundwa mwaka 1935

Aidha taarifa hiyo imeeleza kuwa ubunifu wa jezi pia umezingatia vigezo vya Kimataifa bila ya kuathiri utamaduni wa klabu ya Yanga

Kwa wachezaji, jezi hizo zitawafanya wajivunie na kuwaongezea ari na kujiamini

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’