Sibomana aibukia Polisi ya Rwanda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Sep 2020
Sibomana aibukia Polisi ya Rwanda

Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Patrick Sibomana amesajiliwa na klabu ya Polisi Fc inayoshiriki ligi kuu ya Rwanda

Sibomana amesajiliwa na timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja

PS ametua Polisi baada ya dili lake la kujiunga na Zesco United kukwama

Aliitumikia Yanga kwa msimu mmoja, akifunga mabao sita na kutoa pasi mbili za mabao

Ni miongoni mwa wachezaji walioachwa na Yanga katika usajili wa msimu huu. Alifikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake wa mwaka mmoja uliokuwa umebaki

Kila la kheri PS Machine..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’