Zlatko alivyoanza kazi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Sep 2020
Zlatko alivyoanza kazi Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga Zlatko Krmpotic alianza majukumu ya kukinoa kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria jana

Mserbia huyo ana takribani siku tano kuwaandaa vijana wake tayari kwa mchezo wa kwanza wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Septemba 06, uwanja wa Mkapa saa moja usiku

Zlatko anasaidiwa na Juma Mwambusi, ambaye ndiye aliyeiandaa Yanga kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’