Tshishimbi aibukia AS Vita

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Aug 2020
Tshishimbi aibukia AS Vita

Nahodha wa zamani wa Yanga Papy Tshishimbi yuko kwenye hatua za mwisho kujiunga na AS Vita, miamba wa soka DR Congo

Tshishimbi aliondoka nchini kurejea kwao DR Congo baada ya kuenguliwa katika usajili wa Yanga

Ni baada ya kugomea dau la usajili alilokuwa amelikubali mwenyewe awali akitaka aongezewe fedha zaidi

AS Vita inahaha kuziba nafasi za nyota walioondoka, wawili wakisajiliwa na Yanga , Tuisila Kisinda na Mukoko Tonombe

Yanga kupitia Mkurugenzi wa uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said ilitua Makao Makuu ya AS Vita na kuwanunua wachezaji hao kwa kuvunja mikataba yao

Mukoko alikuwa akimilikiwa na AS Vita kwa asilimia 100 wakati Kisinda alikuwa akimilikiwa na klabu ya Manyema Fc iliyokuwa imemtoa kwa mkopo AS Vita

Tshishimbi anakwenda kuanza maisha mapya AS Vita baada ya kuitumikia Yanga kwa misimu mitatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’