Picha na matukio mbalimbali ya mchezo kati ya Yanga dhidi ya Aigle Noir ambao ulihitimisha wiki ya Mwananchi kwa mabingwa hao wa kihistoria kuondoka na ushindi wa mabao 2-0
Huu ni mchezo ambao Yanga iliutumia kutambulisha kikosi chake ambacho Jumamosi ya wiki hii kitaanza kampeni ya kusaka ubingwa wa ligi kuu kwa kuumana na Tanzania Prisons katika mchezo ambao utapigwa dimba la Mkapa








ADVERTISE HERE