Sibomana kuibukia Zesco United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Aug 2020
Sibomana kuibukia Zesco United

Winga wa zamani wa klabu ya Yanga Patrick Sibomana 'PS' yuko katika hatua za mwisho kujiunga na klabu ya Zesco United ya Zambia

Sibomana ni miongoni mwa wachezaji walioachwa na Yanga katika dirisha hili la usajili ambalo litafungwa usiku wa Agust 31

Alitua Yanga akitokea klabu ya Mukura Victory ya Rwanda kwa mkataba wa miaka miwili

Hata hivyo alifikia makubaliano na uongozi wa Yanga kuvunja mkataba wake

Zesco inanolewa na kocha wa zamani wa Yanga, George Lwandamina. Sibomana alikuwa sehemu ya kikosi kilichocheza na timu hiyo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa raundi ya kwanza msimu uliopita

Nini yeye aliyefunga bao la Yanga kupitia mkwaju wa penati katika mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Taifa na kumalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1 kabla ya Yanga kupoteza kwa mabao 2-1 kwenye mchezo wa pili uliopigwa nchini Zambia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’