Bumbuli ataja kilichoikwamisha Sevilla kuja Wiki ya Mwananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Aug 2020
Bumbuli ataja kilichoikwamisha Sevilla kuja Wiki ya Mwananchi

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi huenda wakacheza na timu kutoka nchini Burundi

Bumbuli amesema changamoto iliyosababishwa na ugonjwa wa corona, imepelekea kuwa na ugumu kupata timu nchi nyingi zikiwa na 'lockdown'

"Lengo letu ilikuwa ni kucheza na timu kutoka nje ya Afrika ambayo ni Sevilla, (Mabingwa wa Europa) hata hivyo kumekuwa na ugumu kuwapata kutokana na lockdown huko Hispania," alisema

"Pia tumejaribu kuwasiliana na timu za Afrika Magharibi, Afrika kusini, Zambia na hata Zimbabwe lakini tatizo ni lockdown

"Tukajaribu Rwanda bado changamoto ni hiyohiyo angalau Burundi kumekuwa na unafuu wa kupata timu hivyo pengine tunaweza tukacheza na moja ya timu kutoka nchi hiyo," alisema Bumbuli

Moja ya timu ambazo Yanga iliwasiliana nao katika ukanda huu wa Afrika Mashariki ni Rayon Sports kutoka Rwanda, lakini ni dhahiri mpango wa kuwapata utakuwa umekwama

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’