Wababe wameondoka Ethiopia, kutua Dar mchana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2020
Wababe wameondoka Ethiopia, kutua Dar mchana

Nyota wapya wa Yanga Tuisila Kisinda na Mukoko Tonombe wanatarajiwa kuwasili jijini Dar es salaam leo, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere majira ya saa saba mchana

Nyota hao wakiwa sambamba na Mkurugenzi wa Uwekezai GSM Mhandisi Hersi Said, wameunganisha kuja nchini na Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia

Mapokezi yao yanatarajiwa kuwa ya kipekee, uongozi wa Yanga ukiwataka mashabiki wajitokeze kwa wingi kuwapokea pale JNIA

Akili Jr na Sekeli ni mashabiki maarufu wa klabu ya Yanga, wao wamekesha pale JNIA, wakisubiri ujio wa nyota hao

Wengi wanaamini ujio wa nyota hao ni dalili njema kuelekea msimu ujao

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’