Injinia Hersi Said yuko DR Congo tangu jana akikamilisha usajili wa nyota wawili winga Tuisila Kisinda na kiungo mkabaji Mukoko Tonombe
Imeelezwa jambo hilo tayari limekamilika, Wanayanga wasubiri tu ujio wa wachezaji wao hao
Heko kwa Injinia, heko kwa GSM, heko Yanga...


ADVERTISE HERE