Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kimemuandikia barua Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla kumtaka ajieleza juu ya shutuma alizotoa kwa shirikisho hilo juzi kuwa hawakusikiliza malalamiko yao dhidi ya tuhuma dhidi ya klabu ya Simba katika sakata la usajili wa Bernard Morrison

ADVERTISE HERE