Kuelekea Wiki ya Mwananchi, mapema leo Wanachama na Mashabiki wa klabu ya Yanga walitembelea kituo cha kulelea watoto yatima, SOS kilichopo Ubungo jijini Dar es salaam na kutoa misaada mbalimbali
Msafara huo uliongozwa na Msemaji na Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz



ADVERTISE HERE