Anga imefunguka huko, maproo kuanza kutua

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Aug 2020
Anga imefunguka huko, maproo kuanza kutua

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema baada ya anga kufunguka, nyota wa kigeni waliosajiliwa wataanza kuwasili wakati wowote

Bumbuli amewaweka mashabiki mkao wa kuwapokea nyota wao wa kigeni waliomwaga wino kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria

Tayari inafahamika mshambuliaji Yacouba Sogne anakuja, mwenyewe alithibitisha kuwa alisaini mkataba wa miaka miwili

Lakini kumekuwa na tetesi za muda mrefu kuwa miongoni mwa wanaosubiriwa ni nyota wawili kutoka klabu ya AS Vita winga Tuisila Kisinda na kiungo mkabaji Mukoko Tonombe ambaye anatajwa kuchukua nafasi ya Papy Tshishimbi aliyeonyeshwa mlango wa kutokea baada ya 'kuringa' kusaini mkataba mpya

"Nani anafuatia? Ahsante Agost 15, kwa kufungua Anga," ujumbe wa Bumbuli alioweka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’