Bumbuli awaambia Simba wasubiri kesi yao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Aug 2020
Bumbuli awaambia Simba wasubiri kesi yao

Afisa Habari wa klabu ya Yanga Hassan Bumbuli amesema hakuna haja kwa viongozi wa klabu ya Simba kuingilia majukumu ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji katika kesi ya mkataba kati ya Yanga na Bernard Morrison kwani haiwahusu

Bumbuli amesema Yanga haina haraka na maamuzi ya kesi hiyo na ndio maana wamekaa kimya wakisubiri siku ya kesho hukumu itakaposomwa

"Sisi hatuna haraka na maamuzi, tunasubiri hiyo kamati kesho, hii kesi ni ya Yanga na Morison tukimaliza hii kuna nyingine inakuja dhidi ya Simba, kwa hiyo watulie hii haiwahusu ya kwao inakuja"

"Hatuna sababu ya kumtisha Mwenyekiti wa kamati kama wanavyofanya wao maana tunajua ukweli wote juu ya mchezaji wetu," alisema Bumbuli

Mapema leo Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara akisikika 'akimtisha' Mwanyekiti wa Kamati hiyo Elias Mwanjala kuwa ataingia matatani kama hatatenda haki

Kauli kama hiyo ilitolewa na Mjumbe wa Kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe ambaye anatajwa kuhusika katika mpango wa kumsajili Morrison katika klabu ya Simba

Hans Poppe pia ni Mjumbe wa Kamati hiyo inayoshughulikia sakata la Morrison

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
50m ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
8h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’