Mkurugenzi wa uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said amewaambia Wanayanga wakae 'mkao wa kula' kwani kuna jambo kubwa la kutikisa nchi linakuja
Je baada ya Simba kutangaza kumsajili winga Bernard Morrison jana, Injia Hersi anakwenda kujibu mapigo kwa mtindo upi?
Tusubiri...!

ADVERTISE HERE