Sibomana awashukuru mashabiki Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2020
Sibomana awashukuru mashabiki Yanga

Winga Mnyarwanda Patrick Sibomana 'PS' ni miongoni mwa wachezaji 14 waliotemwa kuelekea msimu ujao wa ligi kuu ya Vodacom

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Sibomana amewashukuru mashabiki wa Yanga kwa sapoti waliyompa katika kipindi cha msimu mmoja alichokuwa na mabingwa hao wa kihistoria

"Napenda nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi, wachezaji, wapenzi na wanachama wa Yanga kwa ushirikiano wote mlionipa kwa kipindi chote nilichoitumikia klabu yangu ya Yanga, nasikitika kuwajulisha kuwa sitokuwa sehemu ya kikosi cha Yanga msimu ujao

"Kilikuwa kipindi kizuri kwangu kuwa hapa na daima ntabaki na kumbukumbu nzuri, nawatakia mafanikio mema," alisema Sibomana

Sibomana ametajwa miongoni mwa orodha ya nyota wa kigeni ambao wameachwa na Yanga

Wengine ni Erick Kabamba, David Molinga, Yikpe Gnamine na Papy Tshishimbi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’