Wachezaji Yanga waitwa Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2020
Wachezaji Yanga waitwa Jangwani

Wachezaji wote wa klabu ya Yanga wameitwa Makao Makuu ya klabu hiyo, Jangwani jijini Dar es salaam ambako watakuwa na Mkutano na viongozi wao pamoja na Wadhamini

Mtoa taarifa amebainisha kuwa kikao hicho kitakuwa na ajenda tatu muhimu ambazo ni kufanya tathmini ya msimu uliopita, maandalizi ya msimu upya pamoja na tukio la wiki ya Mwananchi

Lakini pia huenda Yanga ikatumia Mkutano huo kuwakabidhi barua wachezaji wanaopewa mkono wa kwaheri

Jana zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Yanga huenda ikaachana na wachezaji 16

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’