Mlinzi wa kushoto wa Polisi Tanzania Yassin Mustafa naye amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa wa kihistoria, Yanga
Mustafa alikuwa akihusishwa na klabu ya Azam Fc,lakini Mhandisi Hersi Said amefanya yake..!
Kazi inaendelea...!
ADVERTISE HERE