Yanga haitaki kurudia makosa ya msimu uliopita

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jul 2020
Yanga haitaki kurudia makosa ya msimu uliopita

Uongozi wa klabu ya Yanga umeweka mkakati wa kuhakikisha wanakamilisha michakato yote ya usajili kabla ya timu kuingia kambini

Mabingwa hao wa kihistoria wanatarajiwa kuingia kambini kati August 14/15 kuanza maandalizi ya kuelekea msimu ujao

Lakini kikubwa ni kuwa mabosi wa Yanga wameamua kuwa masuala yote ya usajili yakamilike mapema ili timu ikiingia kambini zoezi hilo liwe limefungwa

Ikumbukwe msimu uliopita mlinzi Gadiel Michael aliikacha Yanga siku mbili kabla ya dirisha la usajili kufungwa na kupelekea timu hiyo kushindwa kupata mchezaji sahihi wa kuziba nafasi yake

Gadiel alipewa mkataba mapema tu, lakini mwisho wa siku hakuusaini na akaibukia upande wa pili

Pengine ndio maana akina Tshishimbi wamepewa siku 14 waamue kusaini mkataba au la kwani baada ya ya hapo hesabu ya usajili itakuwa imefungwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’