Salamu za shukrani kwa Wanayanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jul 2020
Salamu za shukrani kwa Wanayanga

Kwa niaba ya Uongozi wa Yanga, Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Simon Ptrick amewapongeza wachezaji wa klabu hiyo kwa kuibuka na ushindi w abao 1-0 dhidi ya Lipuli Fc, ushindi ambao umewahakikishia kumaliza katika nafasi ya pili

Aidha, Simon amewashukuru wapenzi, Wanachama na Mashabiki wa Yanga kwa kuiunga mkono timu tangu mwanzo wa mwa msimu

"Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza vijana kwa kupambana mpaka kumaliza nafasi ya pili, angalau pamoja na changamoto tulizokua nazo tumefanikiwa kumaliza nafasi ya pili"

"Pia nawashukuru Mashabiki, Wapenzi na Wanachama wote wa Yanga kwa kuisapoti timu yetu toka mwanzo wa msimu mpaka leo hii, hakika bila nyinyi tusingekua hapa tulipo"

"Mwisho nipende kuwaahidi kwamba kazi ndio imeanza, kwa sasahivi kazi yenu kubwa mmemaliza, sasahivi kazi imebaki kwetu katika kutekeleza ahadi zote tulizo waahidi, nawaombeni muweke vifurushi vya kutosha, mkae mkao wa kula, safari ya kuelekea nchi ya ahadi imewadia"

"Nawaomba msikubali kusikiliza habari za uongo za kutuvuruga, habari zote rasmi zitakua zikitoka kwenye ofisi ya Katibu Mkuu na kuwafikia kwa wakati"

"NB: Msitishwe na bus linalozurura mtaani, kuna Airbus iko kazini kimya kimya. Tukutane week ya Mwananchi"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’