Niyonzima aomba kura za Mashabiki ashinde tuzo ya SportPesa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2020
Niyonzima aomba kura za Mashabiki ashinde tuzo ya SportPesa

Wadhamini wakuu wa klabu ya Yanga kampuni ya SportPesa, mwishoni mwa msimu watatoa tuzo kwa wachezaji bora wa msimu

Mashabiki wanapaswa kuwapigia kura wachezaji katika ukurasa rasmi SportPesa mtandao wa facebook

Mshindi wa tuzo hiyo ataibuka na kitita cha Tsh Milioni moja

Kiungo fundi, Mnyarwanda Haruna Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji wanaowania tuzo hiyo kwa upande wa Yanga, amewataka mashabiki kutembelea kurasa ya SportPesa kule Facebook kumpigia kura

Lakini pia kutakuwa na tuzo ya jumla ya mchezaji bora wa SportPesa kutoka vilabu vya Yanga, Simba na Namungo Fc ambazo zinadhaminiwa na SportPesa

Mchezaji atakayepata kura nyingi ndiye atakayeshinda hivyo Wanayanga wameaswa kuwapigia kura wachezaji wao waweze kushinda tuzo hizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’