Yanga 'mzigoni' dhidi ya Mtibwa Sugar leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jul 2020
Yanga 'mzigoni' dhidi ya Mtibwa Sugar leo

Kikosi cha Yanga, Mabingwa wa kihistoria Tanzania, jioni ya leo Jumatano kitashuka katika uwanja wa Jamhuri kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Huu ni mchezo muhimu kwa Yanga kuondoka na alama zote tatu ili kujiweka salama katika nafasi ya pili wanayoishikilia

Hautakuwa mchezo mwepesi kwani Mtibwa Sugar nao wanapigania maisha yao kubaki Ligi Kuu, wakifungwa leo watahitaji muujiza kuendelea kubaki ligi kuu

Luc Eymael, mkufunzi wa Yanga amesema wamejipanga kuhakikisha wanashinda leo ni kumaliza nafasi ya pili baada ya kuchemsha katika mbio za ubingwa ambao umechukuliwa na watani zao Simba kwa misimu mitatu mfululizo

Kwenye mchezo huo Yanga itawakosa baadhi ya nyota wake muhimu, Haruna Niyonzima, Mapinduzi Balama na nahodha Papy Tshishimbi ambao ni majeruhi

Lakini pia mkongwe Kelvin Yondani naye alibaki jijini Dar es salaam akiwa na matatizo ya kifamilia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’