Youthe Rostand ndiye mbadala wa Deo Munish

Admin By Admin
β€’
4 Jul 2017
Youthe Rostand ndiye mbadala wa Deo Munish
Deo Munish ameomba aruhusiwe aende akajaribu bahati yake Afrika Kusini, kuna timu imemuita kwa majaribio huko.

Uongozi wa Yanga umemruhusu lakini pia anakaribishwa Jangwani kwa mara nyingine kama mambo hayatakuwa poa.

Sasa kutokana na hilo, taarifa za uhakika ni kuwa Yanga imeshakamilisha usajili wa yule kipa kisiki wa African Lyon Youthe Rostand, raia wa Cameroon.

Rostand ni mchezaji huru baada ya mkataba wake na African Lyon kumalizika. Pia kwa kiwango chake sidhani kama angekubali kuendelea kukipiga African Lyon iliyoteremka daraja.

Naiona vita kali ya kugombea namba kati yake na Beno kwani wote ni makipa mahiri.

Ushindani wa namba ni jambo jema kwani litafanya waimarike zaidi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’