Ninja anaendelea kujifua na Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jul 2020
Ninja anaendelea kujifua na Yanga

Beki wa zamani wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' ameendelea kujifua na mabingwa hao wa kihistoria kukiwa na uwezekano mkubwa kujumuishwa kwenye usajili kwa ajili ya msimu ujao

Ninja aliondoka Yanga msimu uliopita akitua klabu ya LA Galaxy ya Marekani ambayo aliitumikia kwa takribani miezi sita kisha kuelekea Barani Ulaya nchi ya Latvia ambako alitarajiwa kujiunga na moja ya vilabu vinavyoshiriki ligi kuu nchini humo kabla ya janga la corona kuibuka na hivyo kulazimika kurejea nchini bila ya kukamilisha mipango yake

Uongozi wa Yanga umeonyesha nia ya kutaka kumsajili na hivyo kumjumuisha katika mazoezi kocha Luc Eymael akitaka kumuona kabla ya kuidhinisha usajili wake

Yanga inatarajiwa kuimarisha safu yake ya ulinzi , Ninja ana nafasi kubwa ya kurejea nyumbani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’