Beki wa zamani wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' leo aliibuka kwenye mazoezi ya kikosi cha Yanga ambacho kinajiandaa na mechi za ligi kuu dhidi ya Biashara United na Kagera Sugar
Ninja ametinga mazoezini akiwa ndani ya uzi wa Yanga
Je mwamba huyu anarejea nyumbani?? Tusubiri...!
ADVERTISE HERE