Mechi ya watani ASFC kupigwa 11 jioni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jul 2020
Mechi ya watani ASFC kupigwa 11 jioni

Watani wa jadi Simba na Yanga watakutana kwenye mchezo wa nusu fainali michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) ambao utapigwa Jumapili ya Julai 12 kwenye uwanja wa Taifa

Mchezo huo umepangwa kupigwa saa 11 jioni

Sahare All Stars, timu ya daraja la kwanza ambayo imefanya maajabu kwa kufanikiwa kutinga nusu fainali, itachuana na Namungo Fc katika mchezo wa mapema ambao utapigwa Julai 11 uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga

Timu zitakazoshinda mechi za nusu fainali, zitasafiri kwenda mkoani Rukwa kuumana kwenye mchezo wa fainali ambao utapigwa Julai 30 katika uwanja wa Nelson Mandela

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’