Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Utamaduni na Michezo Prof Juma Kapuya leo ametembelea Makao Makuu ya klabu ya Yanga yaliyo mtaa wa Twiga, Jangwani jijini Dar es salaam.
Kama ilivyo kwa wageni wengine, Kapuya aliweza kubadilishana mawazo na viongozi wa Yanga sambamba na kufahamu namna klabu hiyo inavyochukua hatua za kujiimarisha.
Kapuya ambaye ni mdau Simba akiwa mmoja wa wateule wapya wa Bodi ya wadhamini ya klabu hiyo, amepongeza hatua kadhaa za maendeleo zilizofikiwa na klabu ya Yanga.

ADVERTISE HERE