Eymael amuacha nje Morrison mechi dhidi ya Kagera Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jun 2020
Eymael amuacha nje Morrison mechi dhidi ya Kagera Sugar

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael hajamjumuisha winga Bernard Morrison kwenye kikosi chake ambacho kitaikabili Kagera Sugar leo katika mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho (ASFC) ambapo utapigwa saa moja usiku kwenye uwanja wa Taifa

Hivi karibuni Morrison aliingia kwenye mgogoro na uongozi wa Yanga baada ya kudai hajasaini mkataba mpya licha ya Yanga kusisitiza kuwa mchezaji huyo ana mkataba wa miaka miwili juu ya mkataba wake wa miezi sita ambayo alisaini mwezi Januari

Kauli zake katika mahojiano na gazeti moja la kila siku, 'ziliwachefua' viongozi wa Yanga ambapo nyota uyo alilimwa faini ya Tsh Milioni 1.5 kwa kitendo chake cha kufanya mahojiano na chombo cha habari bila ya uongozi kuwa na taarifa

Eymael leo amemwanzisha Ditram Nchimbi nafasi ya winga wa kushoto akicheza sambamba na David Molinga na Deus Kaseke kwenye safu ya ushambuliaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’