Ndikumana Hamad Katauti aaga dunia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2017
Ndikumana Hamad Katauti aaga dunia
Beki wa zamani wa Rayon Sports Ndikumana Hamad Katauti ambaye pia ni mume wa mkali wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameaga dunia usiku wa kuamkia leo.

Ndikumana ambaye alikuwa kocha msaidizi wa Royon Sports, amefariki baada ya kuugua ghafla.

Taarifa kutoka Kigali, Rwanda zinaeleza Katauti alikuwa mazoezini jana asubuhi.

Mara ya mwisho, Kataut aliichezea Stand United ya Shinyanga wakati akitokea Cyprus.

Alikuja nchini mara ya mwisho wakati wa Simba Day Agosti 8, akitua nchini Agosti 7 akiwa na kikosi cha Rayon ambacho kilicheza na Simba na kupoteza kwa bao 1-0.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’