Yanga kurejea Dar leo kuiwinda Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jun 2020
Yanga kurejea Dar leo kuiwinda Azam Fc

Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya JKT Tanzania jana, kikosi cha Yanga kinarejea jijini Dar es salaam leo kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumapili ijayo katika uwanja wa Taifa

Mabingwa hao wa kihistoria wanahitaji matokeo ya ushindi katika mchezo huo ili kuwapiku wana rambaramba kwenye nafasi ya pili

Kumekuwa na taarifa ambazo bado hazijathibitishwa na Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) kuwa Tanzania inaweza kutoa wawakilishi wanne kwenye michuano ya CAF msimu ujao baada ya Libya kufungiwa

Kama taarifa hizo zitakuwa na ukweli ina maana mshindi wa kwanza na wa pili kwenye ligi watashiriki michuano ya ligi ya mabingwa kama ilivyokuwa msimu uliopita, wakati mshindi wa tatu na bingwa wa michuano ya kombe la Shirikisho la Azam watashiriki michuano ya Shirikisho

Lakini pia, mchezo dhidi ya Azam Fc Jumapili utakuwa wa kisasi kwa Yanga ambayo ilipoteza mchezo wa kwanza kwa kufungwa bao 1-0

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’