Mashabiki wamzawadia vifaa vya michezo Ninja

Admin By Admin
β€’
30 Jun 2017
Mashabiki wamzawadia vifaa vya michezo Ninja
Beki mpya wa Yanga , Abdallah Haji Shaibu 'Ninja' amekabidhiwa vifaa vya michezo na wadau wake waliopo kisiwani Zanzibar.

Wadau wa soka visiwani Zanzibar wamefurahia mchezaji huyo kusajiliwa na Yanga.

Wanaamini Sahibu ataitumia vyema nafasi ya kucheza Yanga na hivyo kuweza kutimiza ndoto zake.

Wiki iliyopita Mashabiki walifika kumpokea Ninja alipowasili akitokea Tanzania bara , Mashabiki hao walianza kumpokea tangu Bandarini Malindi na kumpandisha gari aina ya Canter hadi nyumbani kwao Jang'ombe huku njiani wakimuimbia nyimbo na kupiga dufu kuashiria furaha ya mpendwa wao huyo kusajiliwa Yanga.

Siku ya Ijumaa ya June 23 Saa 3:00 za usiku katika Uwanja wa Amaan mchezaji huyo aliwaaga Mashabiki wake katika mchezo maalum kati ya Taifa ya JangÒ€ℒombe dhidi Mlandege SC. Ninja anatajwa kama mrithi wa Nadir Haroub Cannavaro.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
27m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’