Tshishimbi anaendelea na matibabu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jun 2020
Tshishimbi anaendelea na matibabu

Nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi huenda akakosa mechi za mwanzo ligi itakaporejea akiuguza jeraha la goti alilopata kwenye mazoezi ya timu hiyo

Mcongomani huyo leo atawashuhudia wenzake wakijipima dhidi KMC, mchezo wa kirafiki ambao utapigwa uwanja wa Uhuru

Daktari wa Yanga Dk Shecky Mngazija, amesema Tshishimbi alipata jeraha baada  ya kuteguka mguu wake wa kulia

Amesema kiungo huyo bado yupo chini ya uangalizi wa daktari  hadi pale hali ya jareha lake litakapopona.

"Kwa sasa Tshishimbi yupo chini ya  uangalizi wa daktari kila siku anatakiwa kuhudhuria hospitalini kuangaliwa maendeleo yake," alisema Mngazija

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’