GSM kuongeza nguvu ujenzi wa uwanja Kigamboni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jun 2020
GSM kuongeza nguvu ujenzi wa uwanja Kigamboni

Moja ya wadhamini wa klabu ya Yanga kampuni ya GSM, wamesema wakiwa wanafamilia wa Yanga, watashiriki kwenye ujenzi wa uwanja wa klabu hiyo Kigamboni

Mkurugenzi wa uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said, amesema kama kampuni hawana mkataba na Yanga katika ujenzi wa uwanja huo lakini wana uwakilishi kwenye Kamati ya Miundombinu ambayo inasimamia mchakato mzima

"Tayari mchoro wa viwanja viwili (cha nyasi asili na bandia) kwa ajili ya mazoezi iko tayari, pamoja na kuwa Hatuna mkataba wa kujenga uwanja kigamboni Ila sisi kama GSM tutasaidia na kupitia kamati inayohusika na ujenzi kila kitu kitaenda sawa. Tunamshukuru sana Mkuu wa mkoani wa Dar es salaam Mh Paul Makonda kwa kutupatia eneo la Kigamboni," amesema Hersi

Uongozi wa Yanga umedhamiria kukamilisha viwanja hivyo kwanza ili kuanzia msimu ujao waweze kuvitumia kwa ajili ya mazoezi wakati mchakato wa ujenzi wa uwanja mkubwa ukiendelea

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’