Yanga kuja na Mwezi wa Mwananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 May 2020
Yanga kuja na Mwezi wa Mwananchi

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema mwaka huu wamepanga kuliboresha zaidi tukio la ufunguzi wa msimu mpya

Yanga ilianzisha wiki ya Mwananchi msimu uliopita, tukio hilo likiwa la kwanza kwa klabu hiyo na kwa hakika lilifanikiwa

Nugaz amesema mwaka huu wamepanga kufanya shamrashamra hizo mwezi mzima

"Tuombe mungu hii changamoto ya corona itulie kabisa..lakini mwaka huu tumepanga kufanya mambo makubwa zaidi. Kwanza haitakuwa wiki ya Mwananchi, tutakuwa na Mwezi wa Mwananchi, shamra shamra mwezi mzima..." alitamba Nugaz

Aidha Nugaz amesema historia nyingine kubwa itaenda kuandikwa siku ya kilele cha tukio hilo kwani mabingwa hao wa kihistoria wanaweza kumshusha nchini mmoja wa vigogo wa soka kutoka kule Hispania

Hivi itakuwaje kama Fc Barcelona, Real Madrid au Atletico Madrid inashuka hapa nchini kucheza na Yanga?

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’