Mil 417 kutumika kumaliza viporo Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 May 2020
Mil 417 kutumika kumaliza viporo Ligi Kuu

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe amesema kulingana na tathmini iliyofanywa na wataalam wa Wizara, kiasi cha Tsh Mil 417 zitahitajika kuweza kukamilisha mechi zilizobaki Ligi Kuu, Ligi Daraja la kwanza na Ligi daraja la pili

Akitangaza Mkakati wa kurejesha ligi hizo ambapo imeamuliwa mechi zote kupigwa mikoa ya Dar es salaam (Ligi Kuu, FA) na Mwanza (Ligi daraja la kwanza na la pili), Dk Mwakyembe alisema Shirikisho la soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi wanapaswa kujiandaa kukabiliana na gharama hizo

Fedha hizo ni kwa ajili ya gharama ya uendeshaji wa timu, posho kwa waamuzi na maafisa wengine watakaosimamia michuano hiyo

Kwa kuwa timu zote zitalazimika kukaa katika kituo kimoja, kutakuwa na gharama za kambi, chakula pamoja na posho za wachezaji katika muda wote ambao mechi zitapigwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’