Molinga ana imani ataendelea kubaki Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 May 2020
Molinga ana imani ataendelea kubaki Yanga

Mshambuliaji wa Yanga David Molinga amesema pamoja na kuwa na ofa kutoka timu nyingine, bado anawasikilizia mabosi wake wa klabu ya Yanga

Molinga aliyetua Yanga akitokea klabu ya Rennaisance kwa mkataba wa mwaka mmoja, amesema ataendelea kubaki Yanga labda itokee mabosi wake wamuache

"Mimi nina mkataba na Yanga mpaka mwezi wa nane, hivyo kwa sasa siwezi kufikiria timu nyingine zaidi ya Yanga. Nnazo ofa kutoka timu nyingine lakini Yanga ndio kipaumbele cha kwanza," amesema

Molinga anajifua katika fukwe za Coco Beach akijiweka sawa tayari kwa mikiki mikiki ya ligi ambayo Rais Dk John Magufuli ameruhusu shughuli za michezo kuanza Juni 01

Mpaka wakati ligi inasimama, Molinga alikuwa amefunga mabao nane kwenye ligi, moja kombe la FA

Ndye kinara wa mabao kwenye kikosi cha Yanga msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
58m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’