Hatma ya ligi iko mikononi mwa Serikali - Kidao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 May 2020
Hatma ya ligi iko mikononi mwa Serikali - Kidao

Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao amesema Serikali ndiyo yenye Mamlaka ya mwisho kuruhusu ligi kuendelea nchini, hivyo ni vyema wadau wakaendelea kuwa watulivu

Akizungumza kupitia ukurasa wa TFF mtandao wa Youtube, Kidao amesema kwa upande wao wanasubiri ruhusa ya Serikali

Wadau wa soka nchini walikuwa na shauku kubwa kufahamu ni lini ligi hiyo itarejee baada ya kuikosa kwa takribani miezi miwili kutokana na janga la corona

Aidha Kidao alitumia mazungumzo yake kufafanua masuala mbalimbali pamoja na kutoa maelezo kuhusu mchanganuo wa fedha wanazopata kutoka FIFA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’