Yanga kuweka hadharani ripoti ya ujenzi wa uwanja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 May 2020
Yanga kuweka hadharani ripoti ya ujenzi wa uwanja

Uongozi wa klabu ya Yanga unatarajiwa kuweka hadharani ripoti ya kwanza ya mchakato wa ujenzi wa uwanja wake ulioko Kigamboni jijini Dar es salaam

Yanga iliunda Kamati ya Ujenzi na Miundombinu ambayo ilipewa jukumu la kusimamia mchakato huo anaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa timu hiyo

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Yanga, Kamati hiyo itatoa ripoti yake ya kwanza kubainisha mahali ulipofika mchakato huo

Inaelezwa Yanga itajenga viwanja viwili (nyasi asili na bandia) katika eneo lake lenye ukubwa wa ekari saba ambalo walipewa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda

Mchakato huo ukikamilika, utaifanya Yanga kuwa klabu yenye uwanja mkubwa zaidi hapa Tanzania ambao utatumika kwenye mechi zote za klabu hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’