Serikali haijaweka ukomo wachezaji wa kigeni - Singo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Apr 2020
Serikali haijaweka ukomo wachezaji wa kigeni - Singo

Wiki iliyopita, Wizara ya Habari Utamaduni,Sanaa na Michezo, ililiagiza Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kuhakikisha kunakuwa na ukomo wenye tija wa wanasoka wa kigeni, ili kupata wachezaji wenye viwango bora wanaocheza ligi mbalimbali  hapa nchini

Akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo bungeni, Waziri wa wizara hiyo, Dk.Harrison Mwakyembe alisema licha ya uwepo wa lundo ya wachezaji wengi wa kigeni hapa nchini kwa sasa, wenye ubora ni wachache

Agizo hilo la Serikali liliibua sintofahamu miongoni mwa wadau wa soka nchini ambao wengi wamehofia kama idadi ya nyota wa kigeni itapunguzwa, inaweza kuwa na athari kwa maendeleo ya soka nchini

Leo Mkurugenzi wa Michezo Yusufu Singo, ametoa ufafanuzi kuwa Serikali haijaweka ukomo kama ilivyotafsiriwa na wengi

Amesema Serikali imeibua mjadala huo kwa wadau ili watoe maoni yao

"Serikali haijatoa ukomo wa wachezaji kutoka nje kushiriki michezo hapa nchini bali imeibua mjadala kwa wadau ili watoe maoni yao," amesema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’