Timu ya Taifa Stars imeanza mazoezi leo kwenye Uwanja wa JK Park na itasafiri Novemba 9, 2017 kwenda Benin kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa Novemba 12, mwaka huu.
Mchezo huo uko kwenye kalenda ya FIFA

Mchezo huo uko kwenye kalenda ya FIFA

ADVERTISE HERE