Niyonzima aongeza mke wa pili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Apr 2020
Niyonzima aongeza mke wa pili

Kiungo Haruna Niyonzima amefunga ndoa na Bi. Cassandra Rayan katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es salaam

Huyo ni mke wa pili kwa Niyonzima ambaye dini yake ya kiislamu inamruhusu kuoa mpaka wake wanne

Juma Abdul, nahodha Msaidizi wa Yanga ndiye aliyekuwa mpambe wa Niyonzima katika hafla hiyo iliyofanyika kwa siri jijini Dar es salaam siku chache zilizopita

Hongera fundi wa mpira wa kuvuta jiko...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’